Angalia Binadamu walivyo!,
“Ukitafuta sana anakuita MCHAWI,”
Ukifanikiwa sio BURE,
“Ukitulia MVIVU,”,
Usipovaa vizuri MCHAFU,
Ukidili sana na masomo unajifanya MSOMI,
Usipodili nayo MJINGA,
Ukisema sana MBEA,
Ukiwa mkimya JEURI,
Ukiwasaidia watu UNATAKA SIFA,
Usipowasaidia ROHO MBAYA,
Ukiwa na kazi UNAJISIKIA,
Usipokua nayo MZEMBE.
Hivyo BINADAMU ndivyo walivyo wewe jali MAISHA YAKO TU NA MAENDELEO YAKO.
MUNGU akulinde na shari zao.
Editor: Melkisedeck Leon Shine. About Me | Contact Me | LinkedIn | TikTok | WhatsApp
Read and Write Comments
Recommended Posts
Kujifunza na Kukuza Maarifa pamoja na Familia: Ulimwengu wa Elimu Uliojaa Upendo
Kujenga Ushirikiano wenye Ukarimu na Kushiriki katika Familia
Jinsi ya Kuelewa Mahitaji, Matakwa, na Maslahi ya Mke wako
Jinsi ya Kusaidiana na mpenzi wako katika kujenga na kudumisha usawa na haki za watoto wenu
Jinsi ya Kuelewa na kukabiliana na changamoto za kusaidia na kuwajali wazee wa familia
Njia za Kuimarisha Ushirikiano na Kujenga Uhusiano Mzuri katika Familia
Namna ya Kujenga Mazoea ya Shukrani na Furaha na mke wako
Je, kuna umuhimu wa kujadili matarajio ya ngono/kufanya mapenzi katika uhusiano?