- Je, ualbino unaambukiza? ……….. Hapana
- Ualbino ni ugonjwa? ………..Hapana
- Ualbino ni laana? ………..Hapana
- Ualbino ni kitu cha kawaida? ………..Hapana
- Ualbino unawapata tu watu weusi?……….. Hapana
- Watu wanaoishi na ualbino wana macho mekundu?……….. Hapana
- Albino ni watu wenye imani za ushirikina? ………..Hapana
- Albino wana nguvu za giza? ………..Hapana
- Je, Albino hawana akili? ………..Hapana
- Je, ni kosa la mwanamke anayezaa mtoto Albino? ………..Hapana
- Je, jamii ibadili mtazamo hasi iliyo nao kuhusu Albino?……….. NDIYO
References:
Google ScholarResearchGate
Semantic Scholar
AckySHINE
Recent Comments