Jeshi la polisi limeanza mikakati maalumu kuchunguza masuala
yote yanayohusu vitendo hivyo, kuwakama tawahusika wote
na kuwafikisha mbele ya vyombo vya sheria. Pia jeshi la Polisi
limeunda kikosi maalumu kwa ajili ya kushughulikia kwa haraka
kesi za Albino.
References:
Google ScholarResearchGate
Semantic Scholar
AckySHINE
Recent Comments