Ibada ya Huruma ya Mungu: Njia ya Ukarabati na Uongofu
Ibada ya Huruma ya Mungu ni njia yenye nguvu ya ukarabati na uongofu!
Read More »Ibada ya Huruma ya Mungu ni njia yenye nguvu ya ukarabati na uongofu!
Read More »Katika fadhila zote, upendo ndio unaonyesha uwepo wa fadhila nyingine
Upendo ni Amri kubwa kuliko zote
Upendo ni Utimilifu wa Sheria
Upendo ni Utakatifu
Read More »Mungu hapendi mtu Ateseke lakini ni kwa njia ya ya Mateso mtu anaweza akapimwa IMANI yake, UNYENYEKEVU, UTII na Matumaini yake kwa Mungu.
Mateso na shida katika maisha ni nafasi ya kujifunza na Kuonyesha unyenyekevu, Imani na Matumaini ya mtu.
Read More »Huruma ya Mungu: Faraja na Ufariji katika Majaribu – Njia ya Upendo na Tumaini!
Read More »Tunaalikwa kutubu na kumrudia Mungu kwa Mioyo yetu yote na kwa nia dhabiti. Mungu ni mwaminifu, atatusamehe dhambi zetu na kutufanya kuwa wapya.
Dawa ya dhambi ni kutubu na kusamehewa.
Read More »Ni kuacha kufuata akili yako na mwili wako huku ukiufuata moyo wako wakati ukijua moyoni mwako Roho Wa Mungu yupo na anafanya kazi.
Read More »Mipango ya Mungu daima ni myema, Mungu anapanga Mema katika maisha ya mtu kama akifuata mapenzi yake. Tatizo ni kwamba watu wanafuata mapenzi yao wenyewe na kisha kukosa yale mema Mungu aliyopanga kwao.
Read More »Huruma ya Mungu: Chemchemi ya Upendo Usiokwisha – Kupata Msaada na Matumaini Yasiyokwisha!
Read More »Leo tunatafakari kuhusu wakati wa shida
Maisha ya mtu yanabadilika wakati wowote kwa namna yoyote yanaweza yakawa mazuri mpaka ukashangaa au yanaweza yasiwe mazuri kama unavyotarajia. Yote hayo ni sehemu ya maisha.
Kutukuza Huruma ya Mungu ni njia ya kupata Neema na Ukombozi – hakuna jambo bora kuliko kumshukuru Mungu kwa kila kitu.
Read More »