Eti hii ni kweli kwa mwanaume anayempa simu mkewe

Kuishi kijijini kunahitaji moyo sana

..unaenda kuoga, unakumbuka kuwa umesahau sabuniโ€ฆunaenda kuchukua sabuni kurudi bafuni, unakuta ng’ombe amekunywa maji yote..unaamua kufuata mengne,unarudi unakuta mbuzi kala sabuniโ€ฆ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚