Kinga ya mwili ni nini?
Date: April 17, 2022
Author: SW - Melkisedeck Shine
Kinga ya mwili ni mpangilio wa mwili kujikinga na maradhi. Chembechembe nyeupe zilizopo katika damu ya mwili mzima wa binadamu zina kazi maalum katika kuhakikisha kinga ya mwili i i ipo. Kama askari jeshi wanaolinda nchi yao, chembechembe hizo kwa pamoja zinalinda mwili dhidi ya magonjwa. Hivyo, kama chembeche-mbe hizo zikishambuliwa, mwili hauwezi kujikinga na maradhi au magonjwa.
Please Join AckySHINE to Participate in Discussion.
Related Posts
Kama kijana akinusa au kuvuta petroli kupitia puani au mdomoni, petroli hiyo huingia kwenye mapaf...
Read More
Kuwa katika uhusiano wa kimapenzi na msichana ni jambo zuri sana. Hata hivyo, kuwa na ukaribu wa ...
Read More
Je, umri unaathiri ngono/kufanya mapenzi katika uhusiano?
Hakuna jibu moja sahihi kwa swal...
Read More
Virusi vya UKIMWI kwa kiasi kikubwa vinaenea kwa njia ya kujamii ana. Kama mtu ana wapenzi wengi ...
Read More
Njia za Kuwa na Mazungumzo ya Kujenga na Msichana
Mawasiliano ni muhimu katika kila uhusia...
Read More
Unaweza kufanya uchunguzi wa kutosha kuhusu tabia, muono na imani ya rafiki yako hata kama mnaish...
Read More
Karibu kwenye blogi hii ambapo tutazungumzia kuhusu mbinu za kuleta msisimko wakati wa ngono/kufa...
Read More
Watu wengi huwaona Albino kama watu tofauti na watu wengine
na kuwakwepa, wanaweza hata kuba...
Read More
Je, ni muhimu kuwa mwaminifu kuhusu upendeleo wako wa ngono/kufanya mapenzi kwa mwenza wako? Jibu...
Read More
Jinsi ya Kujifunza Kujiheshimu na Kuheshimu Wengine kuhusu Ngono ππ
Karibu sana kija...
Read More
Kuna madhara mengi ambayo hutokana na uvutaji sigara.
Madhara mengi yanampata mvutaji kwani ...
Read More
Jinsi ya Kujielewa na Kuelewa Miili Yetu kabla ya Kujihusisha na Ngono πππ
Karibu...
Read More
No comments yet. Be the first to share your thoughts!