Sidebar with Floating Button
Vichekesho vya AckySHINE
☰
AckyShine

Maendeleo kwa mfano wa Kobe

Featured Image

Huwezi kupata maendeleo kwa kusitasita na kuogopaogopa. Hata kobe anayesonga mbele ni yule anayetoa kichwa chake kwenye gamba/nyumba yake.

AckySHINE Solutions

Comments

Please Join AckySHINE to Participate in Discussion.

No comments yet. Be the first to share your thoughts!

Related Posts

Mfu wa Mawazo

Mfu wa Mawazo

Ukiona unaweza ukakaa siku nzima bila hata kuwa na wazo moja jipya ujue umezeeka akil... Read More

Urithi wa mtu

Urithi wa mtu

Kila mtu ni mrithi wake yeye mwenyewe. Mafanikio yako ya baadae ni urithi wako uliout... Read More

Kuzima hasira

Kuzima hasira

Kama vile moto unavyozimwa na maji ndivyo vivyo hivyo hasira inamalizwa na maneno ya ... Read More

Tamaa ni asili

Tamaa ni asili

Tamaa ni tabia ya kiasili ya kila mtu, tofauti ya mtu na mtu ni namna ya kukabili tamaa.

... Read More
Vitu haviwezi kujisogeza

Vitu haviwezi kujisogeza

Kwenye dunia hii vitu haviwezi kusimama kama havijasimamishwa.

... Read More
Maneno na matendo

Maneno na matendo

Uwe mzuri kwenye kufanya kama ulivyo kwenye kufikiri. Matendo yako yafanane na maneno... Read More

Ushauri kwa mtu

Ushauri kwa mtu

Usimpe mtu ushauri ambao unahisi ataukubali sana, mpe mtu ushauri wenye manufaa kwake... Read More

Nguvu ya kuwa makini

Nguvu ya kuwa makini

Uwezo wa kuwa makini katika jambo bila kuyumbishwa na kitu chochote ni ishara kuu ya ... Read More

Mwanzo mzuri wa kitu

Mwanzo mzuri wa kitu

Kitu chochote kinapofanywa vizuri mwanzoni ni sawa na kimefanywa nusu tayari.

Read More
Changamoto na ugumu

Changamoto na ugumu

Changamoto na ugumu wa jambo upo kwa wale wanaolifanya. Huwezi kukaa na kutazama jamb... Read More

Kuacha jambo au kitu chochote

Kuacha jambo au kitu chochote

Kuacha kitu chochote kabisa moja kwa moja ni rahisi sana kuliko kufanya kitu hicho ki... Read More

Tuwe wenye Hodari na wenye uwezo

Tuwe wenye Hodari na wenye uwezo

Tunatakiwa tujenge uhodari na uwezo utakaotusaidia kutumia fursa zilizo wazi mbele ye... Read More