Sidebar with Floating Button
Vichekesho vya AckySHINE
☰
AckyShine

Kisa cha mzaramo na mchaga

Featured Image

MZARAMO V/S MCHAGA.
Mzaramo alitangaza anatibu magonjwa yooooooote
kwa tsh. 100,000/=
Na kama akishindwa kukutibu anakurudishia laki
yako nakukuongeza laki nyingine.
MCHAGA akaona hii fursa yakujipatia hela aiwezi mpita akaenda kutibiwa.
MZARAMO: "unaumwa nini?"
MCHAGA: "Sisikii ladha ya aina yoyote mdomoni kabisaaaa.."
MZARAMO: "sawa, toa laki kabisa.."
Mchaga akatoa.
MZARAMO akamuagiza msaidizi wake; "Naomba kikopo no.27 mpe anywe huyu.."
MCHAGA akanywa akatema faster; "Puh puu puu, Aisee huu si mkojo huu..?"
MZARAMO: "Umepona karibu tena.."
Mchaga aka-mind sana Kesho yake akarudi tena hakuamini ameliwa pesa yake.
MCHAGA: aisee nina tatizo la kumbukumbu nasahau
sanaaaaa.."
MZARAMO akamwambia "hakuna tabu, toa laki tukupe tiba..'
MCHAGA akatoa pesa akijua leo lazima afanikiwe..'
MZARAMO: "nesi naomba kikopo no.27.."
MCHAGA: "ASA CHALII ANGU HICHO SI CHA JANA CHA MKOJO HICHO AISEE..?"
MZARAMO: "UMEPONA KUMBUKUMBU UNAYO.

πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜

AckySHINE Solutions

Comments

Please Join AckySHINE to Participate in Discussion.

Mariam (Guest) on April 5, 2015

Haha! Sijacheka hivi kwa muda mrefu! 🀣

Related Posts

KICHEKESHO: Ukiona masikini Kachinja kuku

KICHEKESHO: Ukiona masikini Kachinja kuku

Ukiona masikin kachinja kuku basi kat ya kuku au yeye kuna mmoja atakua mgonjwa... Read More

Hapo sasa patamu, cheki jamaa alivyowezwa na huyu dogo

Hapo sasa patamu, cheki jamaa alivyowezwa na huyu dogo

Mfugaji mmoja alikwenda kwa mfugaji mwenzake (ambae pia ni bwana mifugo wa eneo lao) asubuhi moja... Read More

Angalia huyu demu alivyo mbulula

Angalia huyu demu alivyo mbulula

Jamaa aliamua kumtoa demu wake out kwaajili ya chakula cha usiku kufika hotelini wakakaa mezani mhud... Read More
Hii ya mamba na kiboko kali, Wewe unaonaje?

Hii ya mamba na kiboko kali, Wewe unaonaje?

Eti kati ya MAMBA na KIBOKO nani kiboko???😜😜😜😜... Read More

Angalia alichokifanya huyu mtu baada ya kuokota wallet ya thamani

Angalia alichokifanya huyu mtu baada ya kuokota wallet ya thamani

Jamaa aliokota wallet, alipofika nyumbani akapiga simu kwenye radio station "naitwa Juma nimepiga... Read More

Eti kupooza chai kwa kizungu inaitwaje?

Eti kupooza chai kwa kizungu inaitwaje?

Kuishi kijijini kunahitaji moyo sana

..unaenda kuoga, unakumbuka k... Read More

Hii ndiyo sababu ya kumfanya huyu jamaa kujiita fara

Hii ndiyo sababu ya kumfanya huyu jamaa kujiita fara

MZEE:"sasa huyu mgeni sijui alale wap?"
MKE:"saa hizi ni usiku akalale na Bebi."
jamaa ... Read More

Angalia huyu jamaa alivyomuweza huyu binti wa chuo

Angalia huyu jamaa alivyomuweza huyu binti wa chuo

😁😁😁😁 .. TABU KUDATE NA MADEMU WA CHUO
Demu ;Β Baby Safari Hii N... Read More

Sifa mbaya: Cheki kilichompata huyu mwanaume mpenda sifa

Sifa mbaya: Cheki kilichompata huyu mwanaume mpenda sifa

SIFA MBAYA…
Jamaa alikuwa ndani ya daladala Mara simu ikaita alikuwa ni mkewe kwa sifa jam... Read More

Baada ya kuulizwa nani anapenda kwenda peponi, haya ndiyo yalikua majibu ya wanafunzi

Baada ya kuulizwa nani anapenda kwenda peponi, haya ndiyo yalikua majibu ya wanafunzi

Wanafunzi waliulizwa na mwalimu nani angependa kwenda peponi? Wote wakanyosha ila mmoja tu alipok... Read More

Huyu panya wa tatu ni noma

Huyu panya wa tatu ni noma

πŸ€ πŸ€ πŸ€Β Panya watatu walikua wakibishana nani Ni noma zaidi

Read More

Dongo kwako kama una degree moja Halafu unachagua kazi

Dongo kwako kama una degree moja Halafu unachagua kazi

Mtu una degree 1 unachagua kazi! Wakati thermometer ina degree 100, inafanya kazi kwenye kwapa.<... Read More