Sidebar with Floating Button
Vichekesho vya AckySHINE
AckyShine

Kali za leo: Misemo ya kuchekesha na kuvunja mbavu

Featured Image

1. Ati wee ni m-black mpaka ukiingia kwa dinga(gari), dirisha zinakuwa tinted!

2. Kwenu kuchafu mpaka mende zinatema mate.

3. Vile wewe mfupi, ukipiga picha ya passport inatokea full.

4. Ati(house) yenu ina gate lakini hakuna fence.

5. Baba alienda ku buy ngombe akaona ikikojoa akasema sitaki hiyo imetoboka.

6.Wee mblack mpaka ukikutana na mzungu afternoon anakusalimia: Good evening.

7. Mko wengi kwa house mpaka kuna rush hours na kukinyesha kunakuwa na jam.

8. Paka yenu noma mpaka ikishika panya inaomba chumvi, fork na pilipili.

9. We ni mrefu mpaka ukikunywa maziwa inafika kwa tumbo ikiwa mgando.

10.Wewe ni mweusi ukikanyanga makaa unawacha footprint nyeusi.

11. Kwenyu mkikunywa maji mnaitisha toothpick

12. We ni mbishi hadi ulikataa kuzaliwa uchi

13. Kwenu kuna insecurity ikifika usiku hadi geti mnaingiza ndani

14. Kwenu ni wengi sana hadi mmeweka round about ndani.

15. Wewe ni mlafi hadi maji uliyochemshia mayai unayafanya supu.

16. We ni mjinga sana hadi blood test ulifeli.

17. Una chogo refu hadi ukigeuka haraka unaweza kuliona.

18. Una kichwa kikubwa hadi ukiingia kwenye daladala konda anakwambia "abiria usiingie na mizigo, tunaweka juu kwenye carrier

AckySHINE Solutions

Comments

Please Join AckySHINE to Participate in Discussion.

No comments yet. Be the first to share your thoughts!

Related Posts

Njia 3 rahisi za kuondoa kitambi

Njia 3 rahisi za kuondoa kitambi

JE, una KITAMBI na unataka kukiondoa?

FANYA HAYA;

1. Kopa mkopo mkubwa benkiRead More

Mbele ya hela binti usharobaro achia mbali

Mbele ya hela binti usharobaro achia mbali

Boy:- hallow
Dem:- hellow
Boy:- ivi jina lako nani vile
Dem:- am miss precious A. ... Read More

Tofauti ya mke na mchepuko!!!

Tofauti ya mke na mchepuko!!!

MKE NA MCHEPUKO.

Mke ni kama Tv na Mchepuko ni kama Simu.
Nyumbani unaangalia Tv lakin... Read More

Eti hili nalo ni kweli kwa dada yako?

Eti hili nalo ni kweli kwa dada yako?

Oya people hv kwa mfano Dada yako akisomea sheria ndo anaitwa sister in law? au... Read More

Unakumbuka hizi enzi za utoto?

Unakumbuka hizi enzi za utoto?

Kitambo tukiwa watoto ulikuwa unaitwa uje ule kwa lugha tofauti kulingana na chakula kilichopikwa... Read More

Upendo wa kweli ni nini?

Upendo wa kweli ni nini?

*Upendo wa kweli ni nini?*
*👉Upendo wa kweli ni pale mwanaume anapomfumania mwanamke wake... Read More

Utoto raha..! Angalia hawa watoto wanachokifanya sasa

Utoto raha..! Angalia hawa watoto wanachokifanya sasa

Leo nimepulizia Air Fresh yenye Harufu ya Pilau nyumbani kwangu sasa watoto wa Jirani wamehamia ... Read More

Angalia sababu ya mke Mtarajiwa kuzimia kabla ya harusi

Angalia sababu ya mke Mtarajiwa kuzimia kabla ya harusi

*Jihadharini* na wachapaji wa kadi za harusi. Hakikisha unasoma maandishi yaliyochapwa kabla ya k... Read More

Watoto wa siku hizi ni shida! Angalia huyu mtoto anachomwambia baba yake

Watoto wa siku hizi ni shida! Angalia huyu mtoto anachomwambia baba yake

Ka ni wewe? DOGO: baba mi siendi tena shule inaonekana walimu hawana uhakika na majibu yao. BABA: ... Read More
KICHEKESHO: Ajira ngumu!! Cheki hawa walivyoamua kujiajiri

KICHEKESHO: Ajira ngumu!! Cheki hawa walivyoamua kujiajiri

Jamaa mmoja alienda kuomba kazi Mbuga ya Wanyama, akaambiwa nafasi ya Kazi ipo ila hakuna Sokwe,... Read More

Wadada lenu hili. Mimi sipo

Wadada lenu hili. Mimi sipo

Wadada kama una sura mbaya subiri NEEMA YA BWANA..Sio kutuambia mna uzuri wa Ndani usioonekana..... Read More

Tofauti kati ya mwanamke na mwanamme

Tofauti kati ya mwanamke na mwanamme

UTOFAUTI KATI YA MWANAMKE NA MWANAUME
1. Kwenye mshituko; mwanaume hushituka halafu huangali... Read More