Sidebar with Floating Button
Vichekesho vya AckySHINE
AckyShine

Huruma ya Mungu: Ulinzi na Uongozi katika Maisha

Featured Image
"Huruma ya Mungu: Kifungua Moyo cha Ulinzi na Uongozi Katika Maisha" - Kila wakati Mungu yuko karibu na sisi, akiwa tayari kutulinda na kutuongoza kwa njia sahihi. Ni wakati wa kutambua huruma ya Mungu na kuitumia kama kifungua moyo cha usalama na mafanikio maishani. Pamoja na Mungu, tunaweza kufurahia maisha ya raha na amani.
50 Comments

Kujiweka chini ya Huruma ya Mungu: Kuponywa na Kupatanishwa

Featured Image
Hakuna kitu kizuri kama kujiweka chini ya huruma ya Mungu! Kupata uponyaji na kupatanishwa ni jambo ambalo linaweza kufanyika kwa kila mtu. Hivyo basi, tuishi kwa kujiamini na tumwamini Mungu daima!
50 Comments

Zawadi ya Kipekee kwa Mtu Ambayo Inadumu Milele

Featured Image
Kuna Zawadi moja ya Kipekee ya kumpa mtu ambayo ni Kusali na Kuomwombea Mtu aweze kuingia Mbinguni. Je, ulishawahi kutoa zawadi hii hasa kwa wale unaowapenda? Kila kitu kitabaki hapa duniani na kitapita na kusahauliwa lakini hili halina mwisho
100 Comments

Hii Ndiyo Namna Pekee ya Kuwa na Amani Katika Maisha Yako

Featured Image
Ifahamu namna Pekee ya kuwa na amani katika maisha Yako. Jifunze Kitu Hapa na kufuata njia hii. Hakika utakua na Amani.
100 Comments

Mambo ya kutafakari unapokuwa katika shida kubwa, unapoelekea kukata tamaa

Featured Image
Leo tunatafakari kuhusu wakati wa shida. Maisha ya mtu yanabadilika wakati wowote kwa namna yoyote yanaweza yakawa mazuri mpaka ukashangaa au yanaweza yasiwe mazuri kama unavyotarajia. Yote hayo ni sehemu ya maisha.
100 Comments

Tafakari Upendo Mkuu wa Mungu kwa Mwanadamu

Featured Image
Karibu tutafakari Upendo Mkuu wa Mungu Kwa Wanadamu. Soma tuone namna Mungu alivyotupenda sana.
100 Comments

Safari ya kupata fadhila ya Unyenyekevu

Featured Image
Fadhila ya Unyenyekevu ni matunda ya Upendo na Uvumilivu kwa hiyo ili kufikia Unyenyekevu yakupasa kuwa na Upendo wa kweli kwa Mungu na Wanadamu huku ukiwa mvumilivu, Mwisho wa yote hayo utapata fadhila ya Unyenyekevu
100 Comments

Kuishi katika Huruma ya Mungu: Njia ya Utakatifu na Ukarimu

Featured Image
Kuishi katika huruma ya Mungu ni njia ya utakatifu na ukarimu. Ni kujenga uhusiano wa karibu na Mungu na kutekeleza wito wake wa kuwatumikia wengine. Hii ni njia yenye furaha na baraka tele.
50 Comments

Kwa nini Mungu hatendi mpaka umwambie au umuombe? Kwa nini tusali?

Featured Image
Mungu anapenda kutenda jambo baada ya mtu kumuomba/kusali ili mtu aelewe Ukuu wa Mungu na ili Mungu atukuzwe. Kama kila kitu mtu anachotaka kingekua kinafanyika, Binadamu asingemkumbuka Mungu na Mungu asingetukuzwa
100 Comments

Umakini katika kuwaza

Featured Image
Kuwa makini sana na mawazo yako, Yanaweza kukupeleka Mbinguni au motoni. Kumbuka vile unavyowaza ndivyo utakavyovitenda. Amua kuwaza mema kutoka ndani ya moyo wako kisha utatenda mema katika maisha yako Kumbuka Mungu humhukumu mtu kwa mawazo yake maana mawazo ya mtu ndiyo mtu mwenyewe Tuwaze mema wapenzi ili tuwe wema
100 Comments