SMS ya kumtumia mpenzi wako kumwambia kuwa yeye ni wa kipekee na utampenda daima
Updated at: 2024-05-25 15:23:40 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Weupe wa penzi lako ni kama mwezi angani.Ucheshi na mahaba yako nifananishe na nini? Kupata mfano wako hatotokea amini. Elewa mimiwako sikuachi asilani
Ujumbe wa kimahaba wa kumtumia mpenzi wako aliyeko mbali na wewe kumwambia unavyommisi
Updated at: 2024-05-25 15:27:09 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Mawingu yametanda napanda kwenye kitanda, macho nayaangaza, taratibu navuta shuka na kujitanda, mishumaa pembezoni inaniangaza, mziki laini wanibembeleza kitu pekee nilichokikosa ni joto lako na vijimambo vyako kunako kitanda!
SMS ya kimahaba ya kumwambia mpenzi wako sababu ya kumpenda
Updated at: 2024-05-25 15:24:54 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
wengi hupenda fanta kwa ladha yake,wengine hupenda pilipili kwa muwasho wake,wengine hupenda asali kwa utamu wake ila mimi nakupenda wewe kwa upendo wako.