Ujumbe mtamu wa mahaba kwa umpendaye kumwambia maana ya upendo
Updated at: 2024-05-25 15:23:34 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
upendo ni jibu kwamba kila mmoja anataka… . upendo ni lugha , kwamba kila mmoja anaongea, upendo hauwez kununuliwa, na icyo kadirika na ya bure,upendo kama uchawi safi,ni siri ya maisha matamu nakupenda mpz
Updated at: 2024-05-25 15:22:15 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
kama ni usafiri wewe ni gari salama,kama ni kiwanda wewe ni namba moja ,kama ni maji kwako kuna chemchem,kama ni mapenzi kwako nimefika,niahidi utakuwa nami siku zote maishani mwangu.
SMS kali ya kimahaba kumwambia mpenzi wako unavyoogopa kwa kuwa unampenda sana
Updated at: 2024-05-25 15:22:56 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Mpenzi kwa mara ya kwanza nilipokuana niliogopa kukuambia, hata nilipokuambia niliogopa kukupenda, nilipokupenda sasa naogopa mno kukupoteza. Kusema kweli siko tayari kukukosa katika maisha yangu.
Updated at: 2024-05-25 15:26:09 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Salamu yako ni nusu ya uhai wangu, kuikosa nisawa na kuidhulumu nafsi yangu, kuipata nisawa na ua ridi machoni mwangu, nakila ninapoipata huwa najisikia faraja moyoni mwangu, Nakupenda sana Muhibu wangu.