Ujumbe wa kimahaba kumwambia mpenzi wako umelimisi penzi lake
Updated at: 2024-05-25 15:24:03 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Mmmh!mpz cjui n kwann nahamu ya kufaid penz lako kiac hk,?na taman lait ungekuwa krb yang unipme gonjwa hl na unitibu pia.kwan ww ndiye daktar wa pekee n naye mwamin. Nmemic kila k2 toka kwako nahc nazd kuchanganyikiwa kwa ukosef wa penz lako.nakutaman sn wangu laaziz. Nakupenda kipenz cha moyo wangu.
SMS ya mapenzi kutakia maisha marefu siku ya kuzaliwa au birthday
Updated at: 2024-05-25 15:26:21 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Happy birthday mpenzi, nakuombea kwa mwenyezi akupe maisha marefu na kukuepusha na maradhi, pongezi kwa wako wazazi kwa kukuzaa mpenzi, nakupenda la azizi.
Ujumbe wa kumwambia mpenzi wako kuwa huna linalokuhuzunisha maishani kwa kuwa mnapendana
Updated at: 2024-05-25 15:22:49 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Imani hufanya mambo yote yawezekane, Matumaini hufufua yaliyopoteza uhai, lakini mapenzi hufanya mambo yote yaonekane mazuri. Sina linalonihuzunisha maishani mwangu kwa kuwa tunapendana!