Ujumbe wa kimahaba wa kumtumia mpenzi wako aliyeko mbali na wewe kumwambia unavyommisi
Updated at: 2024-05-25 15:27:09 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Mawingu yametanda napanda kwenye kitanda, macho nayaangaza, taratibu navuta shuka na kujitanda, mishumaa pembezoni inaniangaza, mziki laini wanibembeleza kitu pekee nilichokikosa ni joto lako na vijimambo vyako kunako kitanda!
Updated at: 2024-05-25 15:27:04 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
"CHAI" bila sukari hainyweki. "ASALI" bila nyuki haitengenezeki. "PETE" bila kidole haivaliki. Na "MIMI" bila ya kukusalimia wala siridhiki! pokea maneno yafuatayo "I LOVE YOU" pokea my lovely kiss "MWAAAAAAA" my best wishes mtumie umpendae kama na mm nimo nirudishie.
Meseji ya kumwambia mpenzi wako kuwa umezama kwake
Updated at: 2024-05-25 15:23:20 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
tazama, nimezama ndani ya bahari la penzi lako siwezi kusonga mbele kurudi nyuma sijielewi haya mapenzi ya fujo hayafai kama wanipenda jaribu kunipa raha