Updated at: 2024-05-25 15:24:28 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
sura yako haifutiki usoni mwangu kirahic,ingawa upo mbal nami lkn penzi lako bado nalikumbuka,hakuna anayeweza kukata kiu yangu zaidi yako,nakupenda mpenzi wangu!
Updated at: 2024-05-25 15:24:16 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
mapenzi ni utoto,deka ulie nitakubembeleza,mapenz ni zawadi,tabasamu,nibusu niambie kiasi gani unanipenda,naweza kusema asilimia kubwa jina lako limezunguka ukuta wa moyo wangu,na kamwe jina lako haliwezi futika. NAKUPENDA
Ujumbe wa kimahaba wa kumtumia mpenzi wako aliyeko mbali na wewe kumwambia unavyommisi
Mawingu yametanda napanda kwenye kitanda, macho nayaangaza, taratibu navuta shuka na kujitanda, mishumaa pembezoni inaniangaza, mziki laini wanibembeleza
Updated at: 2024-05-25 15:37:23 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Mawingu yametanda napanda kwenye kitanda, macho nayaangaza, taratibu navuta shuka na kujitanda, mishumaa pembezoni inaniangaza, mziki laini wanibembeleza kitu pekee nilichokikosa ni joto lako na vijimambo vyako kunako kitanda!
SMS ya kimahaba kumueleza mpenzi wako maana ya mapenzi, Mapenzi ni nini?
Updated at: 2024-05-25 15:26:43 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Mapenzi ni nini? Wale wasiopenda huita majukumu, wale wanaoyachezea huita mchezo, wale wasiokuwa nayo huita ndoto, na wale wanaoelewa huyaita mwisho wa safari, na mimi, mwisho wangu ni wewe.