Angalia ndoto nyingine zilivyo na Majanga
Updated at: 2024-05-25 16:53:49 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Ndoto zingine bwana usiombe zikupate
Mimi usiku wa kuamkia Leo nikiwa nimelala nimeota naendesha gari Yangu aina ya BMW mpya Mara gafla ikakwama kwenye tope .hivyo ikabidi nishuke ili kuisukuma loh! Yani kudadeki ile kuamka nikakuta nimesukuma kitanda hadi sebleni Daaa ilinisikitisha sana jiangalie sana sese hivi ndio narudisha kitanda chumbani .angalizo angalia ndoto unazo ota unaweza kuota upo baharini ukaamka unajikukuta unaogelea kwenye Jaba la Maji shauri yako.
Read more
Close
Muda mzuri wa kulipa mahari
Updated at: 2024-05-25 17:10:16 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Amini Nawaambieni Hakuna Muda Mzuri wa Kulipa Mahari Kama Mwezi January. Baba Mkwe Anapokea Hata Buku Kumi…. 😄😄😛😝😛😝
Read more
Close
Majibu ya mkato ya kuchekesha Kutoka Kenya
Updated at: 2024-05-25 16:52:24 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Njeri: Roysambu ni ngapi?Makanga: Roysambu ni moja tu. Pengine kama Chinese wamejenga ingine.
Odhis: Hii gari haina watu bana.Makanga: Kwani hao wawili wenye wamekaa hapo ndani ni ng’ombe?
Man: Wekeni nyimbo za Yesu tafadhali.Makanga: Yesu bado hajatoa album. Akitoa tutaeka.
Mwikali: Excuse me conda…gari za Mwingi zinapandiwa wapi?Makanga: Ziliacha kupandwa juu hazimei.
Man: Kwani mwisho wa gari ni wapi?Makanga: Mwisho ni hapo penye number plate iko.
Karis: Ruaka ni how much?Makanga: Sijaskia Ruaka ikiuzwa. But nikiskia nitakwambia.
Passenger: Shukisha dere.Makanga: Tukishukisha dere utaendesha gari?
Johnny: Maze, hii gari iko na joto sana.Makanga: Basi shuka upande fridge
Read more
Close
Tofauti ya mke na mchepuko!!!
Updated at: 2024-05-25 17:56:25 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
MKE NA MCHEPUKO.
Mke ni kama Tv na Mchepuko ni kama Simu. Nyumbani unaangalia Tv lakini ukitoka unatoka na simu.
Mara chache unafurahia Tv lakini Muda mrefu unacheza na simu yako.
Tv ni bure kwa maisha yako yote, lakini Simu kama hujalipia hupati huduma.
Tv ni kubwa nzito na wakati wote ni ya zamani. Lakini simu ni nzuri, nyembamba, na ni rahisi kubeba.
Gharama za huduma za tv ni ndogo sana, Lakini gharama za huduma za Simu ni kubwa na pia ni lazima kuzitimiza.
Tv ina remote lakini Simu haina.
Kitu muhimu zaidi simu ina njia mbili za kuwasiliana unaongea na unasikiliza lakini Tv unalazimika kusikiliza hata kama hutaki au unataka.
Unaweza kununua Tv mara moja na ukatumia kwa kipindi kirefu lakini Simu mara zote unabadilisha inategemea na fasheni.
Ya mwisho na ya kuzingatia
Tv haina Virusi lakini Simu inayo.
KUWA MAKINI.
Read more
Close
Kauli 10 mbaya za walimu darasani, unakumbuka ipi hapa?
Updated at: 2024-05-25 18:10:35 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
1:Mkimaliza kuongea niambieni niendelee kufundisha
2:Baba yako kauza ng'ombe ili alete ng'ombe mwingine shule
3:Kama unajua kuliko mimi njoo ufundishe wewe
4:Ulikuja peke yako na utaondoka peke yako
5:Hata msiponisikiliza mshahara wangu uko pale pale
6:Baba yako anahangaika kulipa ada wewe unafanya utumbo tu
7:Hata nikeshe nafundisha wengine ni mizigo hawatoki na lolote
8:Tunavisaidia tu kwan vikifanikiwa mbelen hata salam vinatoa?
9:Bichwa kubwa ubongo nukta
10:Wengine hapa wamekuja kukua tu
SHARE NA MARAFIKI ZAKO WAKUMBUKE ENZI ZA SHULE KIDOGO
Read more
Close
Angalia huyu mwalimu alichomfamya huyu mwanafunzi
Updated at: 2024-05-25 17:46:58 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
*Hadith ya Shemdoe na Mwalimu wa English:*
*Teacher:* `Who is a pharmacist?`
*Shemdoe:* 👆🏿 _(raised up his hand.)_
*Teacher:* `So it’s only Shemdoe that can tell who a pharmacist is in this class? Thus, no body else to answer the question except Shemdoe?`
_(There was no reply from the students)_
*Teacher:* `Ok. now Shemdoe, chukua hii fimbo, charaza vilaza hawa wote kila mmoja viboko 3.`
*Shemdoe* _(akiwa amevimba kichwa, akawatwanga viboko vitatu vitatu vya kushiba darasa nzima)_
*Teacher:* `Now, my dear Shemdoe tell this dumb students, who a pharmacist is…?`
*Shemdoe:* `Yes, sir. a Pharmacist is a farmer who assists people.`
_*Shemdoe sasa hivi amelazwa MOI kwa wataalam wa mifupa*_😀😀😀
Read more
Close
Nilichokifanya wakati naangalia taarifa ya habari
Updated at: 2024-05-25 17:10:00 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Jana wakati naangalia taarifa ya habar mtangazaji akasema "mpenz mtazamaji nataka nikupeleke moja kwa moja had marekani" nikazima TV kwa haraka nikaenda kuvaa viatu. Hadi sahv bado nmekaa hapa seblen nahisi bado wanaihangaikia Visa yangu 😂😂😂😂😂😂
Read more
Close
Angalia alichokifanya huyu mkaka alipoenda benki 🏦
Updated at: 2024-05-25 16:59:23 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
At the bank.. Teller: Hii pesa ni fake Mkaka: Shida iko wapi..pesa ni yangu..account pia ni yangu..weka tu!!!😂😂😂 🏃🏃🏃🏃
Read more
Close
Mambo ya pesa haya..
Updated at: 2024-05-25 17:14:03 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
MAMBO YA FEDHA AISEE……. Kuna jamaa alipewa shilingi 983628763600/= …acha uvivu, najua hujasoma ni kiasi gani hicho cha fedha na mbaya zaidi hujagundua kwamba katikati ya namba hizo kuna herufi A… safi sana, najua umeangalia tena kuiona hiyo herufi, bahati mbaya hujaiona. 😜😜😜😜😜😜😜
Read more
Close
Huyu Baba ni noma, Cheki anachomjibu huyu mtoto wake
Updated at: 2024-05-25 18:00:23 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Mtoto: baba eti Botwasna ipo wap?Baba: angalia itakuwa humo humo kabatini maana mama yako nae kwa kuficha kuficha vitu hajambo…
Read more
Close