Updated at: 2024-05-25 17:53:39 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Darasa lolote lile (hasa vyuoni) lazima liwe na wanafunzi wafuatao: 1. Mrembo wa darasa. 2. Playboy/playgirl. Hawezi kutembea na msichana/mvulana mmoja mara mbili. 3. Group ya marafiki watatu. Kila mara wako pamoja. 4. Mtu mwenye maswali ya kuudhi/kukera. 5. Msongolist kimeo. Huyu huwa anasoma sana bt hana bahati ya kufanya vizuri. Yani msuli tembo, bt matokeo sisimizi.
6. Mlafi. Huyu huwa hakatai offer. 7. Mtoro wa kudumu. Haji darasani hata km hana sababu. 8. Mchelewaji wa kudumu. Anakuja kipindi kiko katikati au kinakaribia kuisha. 9. Miss/Mr.Misifa. kila mara ataeleza the way nyumbani kwao walivyo matajiri. 10. Less talkative bt kiwembe. Jamaa mkimya bt unakuta ametembea na karibu wasichana 15 hapo class. 11. Handsome boy ambaye hana mpango na wanawake. 12.Chips addicted. Hawa wanaweza kula chips asubuhi mchana na jioni. Jumatatu hadi jumatatu. 13. Back benchers. Hawa huwa watundu sana na ni watu wa jokes. Huwa hawajibu swali, but wanasubiri wakati wa kushangilia waongeze bezi. 14. Wambea. Hawapitwi na kitu darasani na washazoea kufeli. 15. Mchungaji/Mtumishi wa Mungu, 16. Waimbaji/Wasanii, 17.Walevi 18.Mabishoo. 19. Team popo. Hawa wewe na hela wasiwe na hela wanakesha club, 20.Mwenye aibu kusimama mbele za watu. Wakati wa Presentation anakimbilia kusimama nyuma ya wenzie, 21. Viherehere. Hawa mara nyingi hutokea kupendwa sana na waalimu. 22. Wanaosoma ili kushindana kwny GPA. 23. Kupe. Huyu boom likitoka atawaganda wenzie hadi ziishe, halafu yeye anaanza kula zake alone. 24. Wise man/woman. Huyu huwa ni mtu anayeaminika na kila mtu darasani. Hutumika sn kushauri pale mambo yanapoenda mrama. Mara nyingi huwa ni mtu mzima. 25.mpenda supu" yeye hata ya nyani atakunywa tu. 26.Fix man. Huyu atakuomba jero, akafuatilie dili la milioni kumi town, kumbe hana hela ya chai. 27. Photocopy machine. Huyu ukimuonesha majibu kwny mtihani anaweza kucopy hadi jina lako. π₯Usposema wewe uko namba ngapi mwngine atakusemaπππ π π π π
Updated at: 2024-05-25 17:16:07 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Leo kuna mdogo wangu nimemtumia meseji nimemuomba aniazime chaja yake ya simu. AkanijibuΒ 21002Β Nikawa mkali nikamuambia kuchajia mara moja tu ndio HELA yote hio si bora nikanunue Chaja yangu mpya. Akaniambia nimesema TUMIA TU ππmtatuua na lugha zenuπ
Updated at: 2024-05-25 17:59:59 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Kuna Daktari wa Moyo alifariki wakamchongeaa jeneza lenye umbo la Moyo. Ghafla Daktari mwingine akaanza kucheka, watu wakamuuliza "kwanini unacheka unafurahia mwenzako kufariki?" Daktari yule akajibu "hapana mimi ni Daktari wa kutahiri nafikilia nikifa mtanichongea jeneza lenye umbo la β¦."
Updated at: 2024-05-25 17:52:36 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
_Sheria inasema kila anaetembea na chombo cha moto barabarani sharti awe na leseni._ _Sasa hawa wauza kahawa mbona wanatembea na chombo cha moto lakini hawakamatwi π‘._ _Hizi sheria zinapendelea._ πππππππππππ
Wachaga wana mambo mbele ya hela, angalia hii bili ilivyomchanganya MASSAWE
MASSAWE alienda na marafiki zake bar kunywa, baada ya kumaliza kutumia akaletewa bili kama ifuatavyo:
Manka 35,000
Marieta 20,000
Kekuu 30,000
Kitime 15,000
Updated at: 2023-04-29 22:52:15 (2 years ago by Melkisedeck Leon Shine)
MASSAWE alienda na marafiki zake bar kunywa, baada ya kumaliza kutumia akaletewa bili kama ifuatavyo: Manka 35,000 Marieta 20,000 Kekuu 30,000
Kitime 15,000 Kinabo 10,000 TOTAL 110,000/= MASSAWE akaicheki akasema "Wote nitawalipia lakini huyo "TOTAL" Yesuu simlipii. Kwansa anamiliki sheli kibao sa mafuta hapa bongo. Shensi taip ! Na amekunywa nyingi kuliko wote alipe mwenyeweβ¦
Updated at: 2024-05-25 16:59:56 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
JE WAJUA!β¦..
Msuli mrefu kuliko yote kwenye mwili wa binadamu unaunganisha kope za macho na sehemu ya kutolea haja kubwa ndo mana kila ukijaribu kubana jicho moja sehemu ya haja kubwa hufunguka bila kutarajia?
Updated at: 2024-05-25 17:09:11 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Wasichana wafupi wananifurahisha sanaβ¦. Yaan siku ya Valentine, wakivaa magauni mekundu huwa wanakuwa kama Fire extinguishers au mitungi ya Oryx πππππ