Ujanja alioutumia msichana wa kazi ili apandishiwe mshahara na mama mwenye nyumba
Msichana wa kazi alitaka mama mwenye nyumba ampandishie mshahara….. Mama mwenye nyumba akamwambia msichana ampe sababu tatu za kutaka kupandishiwa mshahara.
Msichana: Napika vizuri kuliko wewe.
Mama: Nani kakuambia?
Updated at: 2023-04-29 22:52:53 (3 years ago by Melkisedeck Leon Shine)
Msichana wa kazi alitaka mama mwenye nyumba ampandishie mshahara….. Mama mwenye nyumba akamwambia msichana ampe sababu tatu za kutaka kupandishiwa mshahara.
Msichana: Napika vizuri kuliko wewe.
Mama: Nani kakuambia? Msichana: Baba kaniambia.
Mama: ok. Sababu ya pili? Msichana: Napasi nguo vizuri kuliko wewe
Mama: Nani kakuambia na hili?
Msichana: Baba pia kaniambia
Mama: ok, na sababu ya tatu?
Msichana: Najitahidi kitandani kuliko wewe.
(Hapa mama kaonekana kutaka kujua zaidi na akawa tayari kujiandaa kumrukia akate kichwa cha binti mara moja)
Mama: Mume wangu kakuambia na hili pia?
Msichana: Hapana ni Shamba boy kaniambia mimi najitahidi kitandani kuliko wewe.
Mama: Tafadhali punguza sauti baba yako asisikie. Nitakupandishia mshahara wako mara tatu…….
Updated at: 2024-05-25 18:09:48 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Kuna maprofesa 40 walipanda AIR TANZANIA ili wasafari. Kabla ndege haijaanza kuondoka, Lilipita tangazo kama ifuatavyo:
Ndugu wasafiri wote, ndege unayotarajia kusafiri nayo imetengenezwa na wanafunzi wa Kitanzania. Baada ya tangazo maprofesa wote waliteremka isipokuwa mmoja alibaki kwenye kiti chake Walipomuuliza ni kwanini hakuondoka akajibu kwa haraka na furaha kuwa: Kama ndege hii imetengenezwa na watanzania, hata kuwaka haitawaka!
Updated at: 2024-05-25 17:15:01 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Jamaa kaingia mgahawani kwa fujo JAMAA : Nipe soda moja na kila mtu mpe yake maana ninapokunywa soda napenda kila mtu anywe WATU : Ha! Ha! Ha! Haaaa! JAMAA : Nipe mchemsho na kila mtu mpe wa kwake maana ninapokula mchemsho napenda kila mtu ale wake WATU: Watu weweeee! Tena safari hii Na makofi juu.. JAMAA : Mhudumu, nipe bili na kila mtu mpe yake maana ninapolipa bili napenda kuona kila mtu analipa yake 😂😂😂😂😂😂😂