Sidebar with Floating Button
AckySHINE SMSπŸ’ŒπŸ’•
☰
AckyShine

Angalia binadamu walivyo

Featured Image

Angalia Binadamu walivyo!,

"Ukitafuta sana anakuita MCHAWI,"

Ukifanikiwa sio BURE,

"Ukitulia MVIVU,",

Usipovaa vizuri MCHAFU,

Ukidili sana na masomo unajifanya MSOMI,

Usipodili nayo MJINGA,

Ukisema sana MBEA,

Ukiwa mkimya JEURI,

Ukiwasaidia watu UNATAKA SIFA,

Usipowasaidia ROHO MBAYA,

Ukiwa na kazi UNAJISIKIA,

Usipokua nayo MZEMBE.

Hivyo BINADAMU ndivyo walivyo wewe jali MAISHA YAKO TU NA MAENDELEO YAKO.

MUNGU akulinde na shari zao.

AckySHINE Solutions

Comments

Please Join AckySHINE to Participate in Discussion.

No comments yet. Be the first to share your thoughts!

Related Posts

Kuweka Kipaumbele cha Kujenga Ushirikiano wenye Furaha katika Mahusiano yako

Kuweka Kipaumbele cha Kujenga Ushirikiano wenye Furaha katika Mahusiano yako

Mahusiano ni jambo muhimu sana katika maisha yetu. Lakini ili kuwa na mahusiano mazuri, ni muhimu... Read More

Kuhamasisha Mawasiliano ya Kina katika Familia Yako

Kuhamasisha Mawasiliano ya Kina katika Familia Yako

  1. Kwa nini Mawasiliano ya Kina ni muhimu katika Familia Yako? Mawasiliano ya kina ni muhi... Read More

Kujenga Ushirikiano wenye Kusaidiana na Kuwa na Amani na Furaha katika Familia

Kujenga Ushirikiano wenye Kusaidiana na Kuwa na Amani na Furaha katika Familia

Kujenga Ushirikiano wenye Kusaidiana na Kuwa na Amani na Furaha katika Familia

Familia ni ... Read More

Jinsi ya KusaidiaWatoto Kukabiliana na Mabadiliko ya Familia: Kuwa na Uthabiti na Msaada

Jinsi ya KusaidiaWatoto Kukabiliana na Mabadiliko ya Familia: Kuwa na Uthabiti na Msaada

Jinsi ya Kusaidia Watoto Kukabiliana na Mabadiliko ya Familia: Kuwa na Uthabiti na Msaada

... Read More

Njia za Kuimarisha Umoja wa Kifamilia na Kuweka Maadili ya Pamoja

Njia za Kuimarisha Umoja wa Kifamilia na Kuweka Maadili ya Pamoja

Umoja wa kifamilia ni kitu muhimu katika maisha ya kila mmoja wetu. Familia ndiyo kitovu cha mais... Read More

Kufanya Kazi kwa Pamoja: Familia yenye Lengo Moja kuelekea Mafanikio

Kufanya Kazi kwa Pamoja: Familia yenye Lengo Moja kuelekea Mafanikio

Kufanya kazi kwa pamoja ni muhimu sana kwa familia yenye lengo moja kuelekea mafanikio. Kila mmoj... Read More

Kuishi na Tofauti za Kijinsia: Kuelewa na Kuheshimu Uwepo wetu Wote

Kuishi na Tofauti za Kijinsia: Kuelewa na Kuheshimu Uwepo wetu Wote

Kuishi na Tofauti za Kijinsia: Kuelewa na Kuheshimu Uwepo wetu Wote

Leo hii, dunia ina ida... Read More

Njia za Kupunguza Mazoea ya Kukosa Uwiano na Kuunda Amani na Furaha katika Familia

Njia za Kupunguza Mazoea ya Kukosa Uwiano na Kuunda Amani na Furaha katika Familia

Familia ni kitu muhimu sana katika maisha ya kila mtu. Ni katika familia ndipo tunapopata upendo,... Read More

Kuhamasisha Ushirikiano wa Kijinsia wenye Kuridhisha katika Familia

Kuhamasisha Ushirikiano wa Kijinsia wenye Kuridhisha katika Familia

  1. Kuhamasisha ushirikiano wa kijinsia wenye kuridhisha katika familia ni jambo muhimu lin... Read More

Kukabiliana na Mazoea ya Kukosa Muda katika Mahusiano: Kuweka Kipaumbele cha Kuungana

Kukabiliana na Mazoea ya Kukosa Muda katika Mahusiano: Kuweka Kipaumbele cha Kuungana

  1. Kukabiliana na Mazoea ya Kukosa Muda katika Mahusiano: Kuweka Kipaumbele cha Kuungana
  2. ... Read More
Kujenga Ushirikiano wenye Kusudi na Kuunga Mkono Malengo ya Kila Mwanafamilia

Kujenga Ushirikiano wenye Kusudi na Kuunga Mkono Malengo ya Kila Mwanafamilia

Kujenga Ushirikiano Wenye Kusudi na Kuunga Mkono Malengo ya Kila Mwanafamilia

Kujenga ushi... Read More

Jinsi ya Kukuza Kujithamini katika Familia: Kuimarisha Nguvu ya Kujiamini

Jinsi ya Kukuza Kujithamini katika Familia: Kuimarisha Nguvu ya Kujiamini

  1. Tambua Thamani yako kama Mtu: Kujithamini ni muhimu sana katika familia, kwa sababu una... Read More