Sidebar with Floating Button
AckySHINE SMSπŸ’ŒπŸ’•
☰
AckyShine

SMS ya kumtakia sweet wako usiku mwema

Featured Image

Usiku wa leo uwe ni wenye faraja kwako, utawaliwe na usingizi wa mahaba kwenye kope zako,
naomba ujenge taswira yangu katika mawazo yako, Usisahau kuniota sweet wangu. USIKU MWEMA





Unaweza kutuma Ujumbe huu kwa Umpendaye hapa





AckySHINE Solutions

Comments

Please Join AckySHINE to Participate in Discussion.

David Ochieng (Guest) on August 20, 2024

Kila mara ninapokushika mkono, najua kuwa niko mahali salama zaidi duniani. Wewe ni kimbilio langu, na nataka tuwe pamoja milele πŸ›‘οΈπŸ’–.

Guest (Guest) on October 8, 2026

0759249872

Guest (Guest) on October 8, 2026

0759249872

Guest (Guest) on September 28, 2026

0780871231

Guest (Guest) on July 13, 2026

0662833177

Guest (Guest) on August 21, 2026

nakupend

Guest (Guest) on July 14, 2026

KUNA MSICHANA ALI ANA UMWA NIKAMUULIZA JE NIKUTAFUTIYE BODABODA?
AKASEMA NDIO
BODABODA ALIPOFIKA NIKAKUTA BINTI AMEONDOKA TENA HUYO BINTI NAMPENDA.
NAOMBA USHAULI

Guest (Guest) on October 14, 2026

Kama ameamua kwenda bac achana nae huenda sio riziki yako tafta mwingine umupendae

Guest (Guest) on October 8, 2026

Achana nae atakuumiza kichwa 2 babu

Guest (Guest) on June 20, 2026

nampenzi wangu lakn bado ana soma na nifia umri wa kuoa vp nimwambie aache shule au ni muache amalize masomo naomba ushauli hapo!

Guest (Guest) on October 14, 2026

Muache amalize masomo kwanza ili atimize ndoto zake

Guest (Guest) on October 9, 2026

Unaumr gana na yeye anasoma dalas la ngap

Guest (Guest) on September 6, 2026

Subili amalize masomo

Guest (Guest) on September 21, 2026

Xubil amalize maxomo

Guest (Guest) on September 6, 2026

Subili amalize masomo

Guest (Guest) on August 11, 2026

Muache

Guest (Guest) on July 13, 2026

UMUACHE ASOME KWANZA AU IKITOKEA NA JINSI ANAVYO TAKA

Guest (Guest) on July 12, 2026

Muache Amalize Masomo

Guest (Guest) on July 6, 2026

Naomba ushaul

Guest (Guest) on July 13, 2026

msubiri amalize kusoma

Guest (Guest) on July 6, 2026

Naomba ushaul

Guest (Guest) on July 5, 2026

mwache amalinze shulekwanza

Guest (Guest) on June 25, 2026

Mwache amalze masomo

Guest (Guest) on June 22, 2026

Muache amalize shule

Guest (Guest) on June 20, 2026

0688879572 peter malyeta langu jina

Guest (Guest) on August 13, 2026

Mwache asome kwanza

Guest (Guest) on May 3, 2026

0681464486

Salma (Guest) on August 11, 2024

Wewe ni mshirika wangu wa maisha, rafiki yangu wa dhati, na mpenzi wangu wa milele. Nakushukuru kwa kunipa nafasi ya kukupenda na kwa kunifanya nijihisi mwenye bahati πŸ‘­πŸ’ž. Wewe ni kila kitu nilichowahi kutamani, na najua kuwa maisha yetu yatakuwa yenye furaha na upendo wa milele. Nakupenda kwa namna isiyoelezeka, na natamani kuwa nawe kila siku ya maisha yangu πŸ’–πŸ’«.

Guest (Guest) on August 19, 2026

0694670578

Guest (Guest) on August 20, 2026

0694670578

Guest (Guest) on August 19, 2026

0694670578

Guest (Guest) on July 6, 2026

Tuma

Guest (Guest) on July 13, 2026

0662833177

Guest (Guest) on October 9, 2026

Achaa upuuzi mchane ili ucje ukapokonywa

Guest (Guest) on July 13, 2026

Nina mpenzi wangu yuko moyoni ila nikifika mbele yake naogopa kumwambia.
Naomba mnishauli

Guest (Guest) on July 13, 2026

Kwa majina naitwa AKIPENDA JOHN OF THE KING POWER.
Kuna binti mmoja nilimwambia kwamba nampenda. Kwakua naitwa akipenda, akaona kwamba jina langu nalisifu.
Hapohapo mawasiliano yalikatika.
Je alimanisha nini?
Naomba ushauri.

Guest (Guest) on July 6, 2026

Tuma

Guest (Guest) on October 9, 2026

Hahahahahaha! Badili jina ww na py aliona kama up kwenye utan?

Guest (Guest) on July 14, 2026

0681464486

Guest (Guest) on July 13, 2026

0681464486

Guest (Guest) on October 14, 2026

Naombeni ushauri wenzangu mm ninarafiki yangu mwanamke na nimda mrefu sasa tumedumisha urafiki wetu lakin siku zinavyozidi kwenda namzoea yani ananiingia ndani ya moyo wangu najaribu kujikaza lakn moyo unakataa .naombeni munishauri jaman nifanyeje?

Guest (Guest) on June 19, 2026

Save

Guest (Guest) on June 19, 2026

0738465594

Guest (Guest) on June 19, 2026

Save

Guest (Guest) on July 13, 2026

0681464486

Guest (Guest) on May 9, 2026

0791235751

Guest (Guest) on April 14, 2026

A

Selemani (Guest) on August 3, 2024

Nakutazama naona maisha yaliyojaa furaha na amani. Wewe ni zawadi ya kipekee ambayo siwezi kueleza jinsi ilivyo ya thamani, lakini najua kuwa sitawahi kuacha kuithamini 🎁😊. Kila siku niliyokuwa nawe ni baraka, na najua kuwa hatimaye tutafurahia maisha ya pamoja. Nakushukuru kwa kunifanya nijue maana ya furaha ya kweli. Wewe ni kila kitu nilichotamani maishani mwangu πŸ’–πŸ’«.

Guest (Guest) on March 17, 2026

0653491184

Ndoto (Guest) on July 21, 2024

Kila wakati ninapokushika mkono, nahisi kama nimepata hazina kubwa zaidi duniani. Wewe ni sababu ya furaha yangu, na nakushukuru kwa kunifanya nijihisi mfalme katika ufalme wa upendo πŸ€πŸ‘‘. Kila dakika ninayokuwa nawe, najua kuwa niko mahali pazuri zaidi duniani. Nakupenda zaidi ya vile maneno yanavyoweza kueleza πŸ’–πŸ’.

Guest (Guest) on May 7, 2026

0787256649

Raha (Guest) on July 14, 2024

Kila nyota inayoangaza usiku ni kumbukumbu ya jinsi gani ulivyo mwangaza wa maisha yangu. Bila wewe, giza lingetawala, lakini unapokuwa karibu, kila kitu kinapata maana mpya πŸŒ™βœ¨.

Guest (Guest) on August 4, 2025

0744805104

Mariam Kawawa (Guest) on July 7, 2024

Kila wakati ninapokushika mkono, nahisi kama nimepata hazina kubwa zaidi duniani. Wewe ni sababu ya furaha yangu, na nakushukuru kwa kunifanya nijihisi mfalme katika ufalme wa upendo πŸ€πŸ‘‘.

Guest (Guest) on June 15, 2026

Good

Guest (Guest) on June 24, 2026

nicecy

Andrew Mahiga (Guest) on June 19, 2024

Kama moyo wangu ungeweza kuandika, ungeandika vitabu vingi kuhusu upendo wetu. Lakini hata vitabu hivyo vingeweza kushindwa kueleza jinsi ninavyokupenda kwa dhati πŸ“šβ€οΈ. Kila kurasa ingekuwa na maneno ya upendo na hisia za kweli, lakini bado isingeweza kueleza kina cha hisia zangu. Nakupenda kwa namna isiyo na kikomo, na najua kuwa maisha yetu yatakuwa yenye furaha na upendo wa milele πŸ’–βœ¨.

Grace Njuguna (Guest) on June 8, 2024

πŸ’˜πŸ˜˜πŸ’– Nakupenda zaidi ya maneno

Mohamed (Guest) on June 1, 2024

Wewe ni zaidi ya maneno yanavyoweza kueleza. Upendo wangu kwako ni wa kina kirefu, kama bahari isiyo na mwisho. Ninakushukuru kwa kunifanya nijue uzuri wa upendo wa kweli 🌊❀️. Kila siku ninayokuwa nawe ni baraka, na sitaki kamwe kuacha kuwa na wewe. Nakupenda kwa namna isiyoelezeka, na najua kuwa tutakuwa na furaha na upendo wa milele πŸ’–πŸ’ž.

Related Posts

SMS ya kumsihi mpenzi wako awe anakupigia simu kwa kuwa hivyo ndivyo kujali

SMS ya kumsihi mpenzi wako awe anakupigia simu kwa kuwa hivyo ndivyo kujali

Kusumbuliwa na mlio wa simu yako, humaanisha kuwa muda
fulani, mahali fulani, ku... Read More

Ujumbe wa kumwambia umpendaye kuwa ni pengo lisilozibika milele kwa hiyo asikuache

Ujumbe wa kumwambia umpendaye kuwa ni pengo lisilozibika milele kwa hiyo asikuache

nikipoteza kitu cha thamani nitauzunika nitasahau ila
nikikupoteza wewe ni pengo... Read More

SMS ya kimahaba kumwambia mpenzi wako kuwa yeye ni ndoto yako

SMS ya kimahaba kumwambia mpenzi wako kuwa yeye ni ndoto yako

Nilikuwa nikifiria kwamba ndoto haziwezi kuwa kweli,
lakini nilibadili mawazo ya... Read More

Ujumbe mzuri wa mapenzi wa kimahaba wa kumtumia mpenzi wako siku ya wa pendanao au siku ya valentine

Ujumbe mzuri wa mapenzi wa kimahaba wa kumtumia mpenzi wako siku ya wa pendanao au siku ya valentine

Wewe pekee upo moyoni mwangu, nitaendelea kukupenda siku
zote za maisha yangu! K... Read More

SMS ya kumwambia mpenzi wako kuwa bado unampenda na hujabadilika

SMS ya kumwambia mpenzi wako kuwa bado unampenda na hujabadilika

"Japokuwa" "Kuku" "Haogi" "Yai" "Lake" "Litabaki" "Kuwa" "Jeupe" "Tu" "Namaanisha" "K... Read More

SMS kali ya kimahaba kumwambia mpenzi wako unavyoogopa kwa kuwa unampenda sana

SMS kali ya kimahaba kumwambia mpenzi wako unavyoogopa kwa kuwa unampenda sana

Mpenzi kwa mara ya kwanza nilipokuana niliogopa kukuambia,
hata nilipokuambia ni... Read More

SMS nzuri kali ya kimahaba yenye ujumbe wa kuomba pendo kwa umpendaye

SMS nzuri kali ya kimahaba yenye ujumbe wa kuomba pendo kwa umpendaye

Naomba upokee zawadi hii ya kiwembe.
Amini ndicho kilichotumika kufanyia operati... Read More

Ujumbe wa kuasa kudumu katika upendo na mapenzi

Ujumbe wa kuasa kudumu katika upendo na mapenzi

Hii ni mbegu bora inaitwa UPENDO ipande kwa ndg zako,na pale utakapokuta imeota imwag... Read More

SMS nzuri kwa mpenzi wako kumwambia kuwa ameitibu akili yako

SMS nzuri kwa mpenzi wako kumwambia kuwa ameitibu akili yako

Chuki huharibu akili; mapenzi huitibu. Umeitibu akili
yangu.

... Read More
Ujumbe mtamu wa mapenzi

Ujumbe mtamu wa mapenzi

Pendo la kweli ni hisia zilizomo moyoni ambazo sauyi yake haisikiki isipokuwa kwa aku... Read More

SMS Nzuri za Mapenzi

SMS Nzuri za Mapenzi

mapenzi ni safari,mapenzi ni ahadi,mapenzi ni
ujasiri,mapenzi ni zawadi,mapenzi ... Read More

SMS nzuri ya kumtumia mpenzi wako mnapogombana na kukorofishana

SMS nzuri ya kumtumia mpenzi wako mnapogombana na kukorofishana

teke la kuku halimuumzi mwanaye sawa na dhati ya mapenzi
haiumzi moyo wa ampenda... Read More