Jinsi ya kupika Vileja Vya Tambi
Date: April 18, 2022
Author: SW - Melkisedeck Shine
Viambaupishi
Tambi (vermiceli Roasted) Mifuko 2
Siagi 4 Vijiko vya supu
Maziwa (condensed) 300Ml
Lozi zilizokatwakatwa 1 kikombe
Zabibu kavu 1 Kikombe
Arki (essence) 1 Kijiko cha supu
Jinsi ya kuandaa na kupika
1) Weka karai kwenye moto kiasi
2) Tia siagi
3) Tia tambi uzikaange usiachie mkoni mpaka ziwe rangu ya dhahabu.
4) Weka lozi na zabibu huku unakoroga
5) Tia maziwa na huku unakoroga usiachie mkono.
6) Tia arki
7) Epua karai, tumia kijiko cha chai kwa kuchotea na utie kwenye kikombe cha kahawa nusu usikijaze.
8) Kipindue kwenye sahani utoe kileja.
9) Fanya hivyo mpaka umalize vyote.
Please Join AckySHINE to Participate in Discussion.
Related Posts
Vipimo - Mahitaji Ya Nyama
Nyama ya nβgombe ya mifupa - 3Β lb
Tangawizi mbichi il...
Read More
Mahitaji
Samaki mbichi (1)
Viazi mbatata (3)
Nyanya (1)
Kitunguu maji
Read More
VIAMBAUPISHI
Unga wa ngano 1Β 1/2 Kikombe
Baking powder 1 Kijiko cha chai
Bak...
Read More
MAHITAJI
Nyama iliyokatwa vipande - 1 Ratili(LB)
Mchele Basmati - 2 Magi
Chum...
Read More
Vipimo
Mchele 3 vikombe
Mboga mchanganyiko 1 kikombe
Samaki wa Pink Salmon 5 ...
Read More
Upishi na Matunda ya Mzabibu: Vitamu vyenye Antioxidants π
Habari za leo wapenzi wa cha...
Read More
Mahitaji
Wali uliopikwa (cooked rice) kiasi
Hoho la kijani (green pepper) 1/2
H...
Read More
MAHITAJI
Unga - 4 Vikombe vya chai
Sukari ya laini (icing sugar) - 1 Kikombe cha cha...
Read More
Vitumbua ni aina ya vitafunwa vya chai ambavyo hutengenezwa kwa kutumia unga wa mchele. Kiasili v...
Read More
Mahitaji:
Unga sembe glass 1
Unga ngano glass 1
Sukari glass 1 (unaweza kupungu...
Read More
Viambaupishi
Unga 4 Vikombe
Sukari 10 Ounce
Siagi 10 Ounce
Mdalasini ya...
Read More
VIPIMO VYA SAMAKI
Samaki wa sea bass vipande - 1Β 1/2 LB (Ratili)
Kitunguu saumu(tho...
Read More
No comments yet. Be the first to share your thoughts!