Ujumbe wa Kimahaba wa kumwambia mpenzi wako upo tayari hata kumpa maisha yako
Updated at: 2024-05-25 15:25:32 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Kama busu ni maji ningekupatia bahari, kukumbatia ni majani, ningekupa msitu. Mapenzi ni maisha ningekupa yangu bure.
Read more
Close
Meseji nzuri ya kumtumia mpenzi umpendaye kwa moyo
Katika nyuso za dunia, na kati ya miamba ya jangwani, Kuna SAUTI! Neno la pendo lako liotapo
Updated at: 2024-05-25 15:37:58 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Katika nyuso za dunia, na kati ya miamba ya jangwani, Kuna SAUTI! Neno la pendo lako liotapo karibu yangu. Ni zaidi ya roho iendayo safarini.
Unaweza kutuma Ujumbe huu kwa Umpendaye hapa
Read more
Close
SMS ya kumtumia mpenzi wako kumwambia kuwa yeye ni wa kipekee na utampenda daima
Updated at: 2024-05-25 15:23:40 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Weupe wa penzi lako ni kama mwezi angani.Ucheshi na mahaba yako nifananishe na nini? Kupata mfano wako hatotokea amini. Elewa mimiwako sikuachi asilani
Read more
Close
SMS nzuri ya kumtakia umpendaye mchana mwema
Mpenzi kila tunapokuwa chumbani huwa napenda kuwa mbunifu, huwa najitahidi kuepuka udhaifu, ili mapenzi yangu yasikukifu, ENDELEA KUFURAHIA MAPENZI YANGU. Mchana mwema
Updated at: 2024-05-25 15:38:04 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Mpenzi kila tunapokuwa chumbani huwa napenda kuwa mbunifu, huwa najitahidi kuepuka udhaifu, ili mapenzi yangu yasikukifu, ENDELEA KUFURAHIA MAPENZI YANGU. Mchana mwema
Unaweza kutuma Ujumbe huu kwa Umpendaye hapa
Read more
Close
SMS nzuri sana ya Kimahaba
Updated at: 2024-05-25 15:23:02 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Nimekuapata! Kama unanichukia, nipige mshale, lakini tafadhali si moyoni sababu hapo ndipo wewe ulipo.
Read more
Close
SMS ya kumkumbusha mpenzi wako sifa za pendo la dhati
Updated at: 2024-05-25 15:23:25 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
pendo la dhati lina sifa zifuatazo,kuvumilana, kusubiriana, kujaliana, kushauriana, na La Mwisho Ni Mimi Na Wewe.
Read more
Close
SMS kwa mpenzi kumwambia unampenda kwa moyo
Updated at: 2024-05-25 15:36:36 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
unaweza ukafunga macho kwa usilolitaka kuliona lakini hauwez kufunga moyo wako kwa Unalo Lipenda. Nakupenda Mpenzi
Read more
Close
SMS kali ya kumtumia mpenzi wako usiku
Updated at: 2024-05-25 15:36:09 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Ukilala Lala Salama Kumbatia mwili wangu Kama ukinikumbuka Sana Nipigie Kupitia Sim Yangu Matatizo Chuki Lawama Vumilia Mpenzi Wangu.
Read more
Close
SMS ya kumwambia umpendaye akijisikia upweke akukumbuke wewe kwani upo kwa ajili yake
Updated at: 2024-05-25 15:25:28 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Watu husema kwamba, awapo mtu mmoja tu akupendaye, maisha hayajapoteza maana, kwa hiyo, ukijihisi mpweke hauhitaji kuishi nikumbuke mimi.
Read more
Close
SMS ya kumtumia mpenzi wako kumtakia mahangaiko mema ya kazi
Updated at: 2024-05-25 15:36:21 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Ukipata tutakula na wala usijali mpenzi wangu. Ukikosa tutalala na hiyo itabaki siri yanguuuuuuuu.nakupenda mpz
Read more
Close