Updated at: 2024-05-25 15:36:20 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Mpenzi kila tunapokuwa chumbani huwa napenda kuwa mbunifu, huwa najitahidi kuepuka udhaifu, ili mapenzi yangu yasikukifu, ENDELEA KUFURAHIA MAPENZI YANGU. Mchana mwema
SMS ya kumtumia mpenzi wako kumuahidi kuendelea kumpenda daima
Updated at: 2024-05-25 15:22:36 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Moyo wangu umehifadhi hisia zako, nakuahidi kamwe sintopunguza upendo kwako, tunza sms hii ya ahadi kwenye simu yako, iwe kumbukumbu kila uisomapo! "NAKUPENDA MALAIKA WANGU"
Updated at: 2024-05-25 15:22:47 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Wewe ni taa kwangu imulikayo gizani, nakupenda sana mpenzi wangu wa moyo, utakuwa wangu siku dear! Kosa nililofanya ni kwa bahati mbaya, naomba unisamehe na ninaahidi kutorudia tena katika penzi letu!
Meseji ya namna nzuri ya kumwambia mpenzi wako kuwa unampenda
Updated at: 2024-05-25 15:23:24 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Neno Nakupenda Hutamkwa Kwa Lugha Legeeevu Yenye Kuambatana Na Hisia Nzito Zilizofikicha Mioyoni Mwetu,hutamkwa Kwa Kauli Bashasha,nakshi Na Hofu Ndani Yake.raha Yake Umpate Anayekujali Kama Mi Ninavyokujali Nakupenda Mpz